(In the photo, taken in 1989, are, standing, from left to right, Phoney Mukwanyule from Tanzania (trumpeter), Sammy Mwambi from Taita Kenya (soloist) who later played with Super Wanyika Stars of Issa Juma, Philemon a Congolese doorman at Bombax, and Rama Kocha a vocalist from Mombasa Kenya. Sitting are Tom Malanga, the bassist, and John Ngereza the band leader, who also played solo and sang) The song is also known as 'Dunia Kigeugeu'
UFUKARA SI KILEMA LYRICS
By Les Wanyika
This song was composed by Ngereza Johnny while the band was touring Uganda and recorded in Nairobi in 1984. This song features a killer rhythm guitar by none other than the god of the East African rhythm guitar, the late Prof Omari Shaban.
Naamini unaenda utarudi oh
Hata kama sio leo wala Kesho eeh
Mimi wako Mama
Nawe wangu Cherie Mama
Mbona hivyo Mwenzangu Mama
Waniacha kisa nini oh
oh Bibi eh
Sio nia yangu niwe Maskini oh
Uamuzi wake Mungu eh Mama
Ufukara Oh Bibi eeh
Si Kilema Oh Cherie Mama
Naamini iko siku Mama
nitakuwa kama wale, fulani eeh
Kumbuka Mama Mwenyewe uliapa eeh
tutaishi tutenganishwe na Kifo eeh
Mi najuta sikujua,Oh Mama
hukuishi kimapenzi,Oh Mama
CHORUS
Eeeh,ukumbuke Mama, aaaah
Sikuwa hivyo Mwanzo, eeh
Dunia Kigeugeu, aaah
Leo hivi kesho vile, Mama
Eeeh,Ufukara si Kilema, aaaaah
Ndio Hali ya Dunia,hivyo
sitovunjika Moyo Mama yoyo
Siku yangu itafika na Mimi Oh
Jabulani Radio Livestream
Next Track
Track History