Chunga watoto wakoTabia zako zimeshakuponzaMke na watoto wamekimbiaTulikukanya chunga heshima yakoMke na watoto wako nyumbaniNdio hazina ya maisha yako... Amigo, Amigo
Wakati tunakupa ushauri weehUliona sisi watu fitinaTwaingilia mambo yako ya ndaniNa kwamba tukuache kama ulivyoSababu wewe bingwa wa maisha... Amigo, Amigo
Thamani ya mke ni mavaziKula vizuri kulala vizuriNdio siri ya kudumisha ndoaMtaishi kwa raha amigo
Watoto wako wapeleke shuleKwa manufaa yao ya baadayeElimu ndio zawadi muhimuKwa watoto wako, Amigo
Badala yake mambo yote hayoKwa mkeo imekuwa ni ndotoMaisha yake ya kubahatishaNa kazi unfanya, Amigo
Mke amechoka mwisho kakimbiaUmebaki kulaumu wenzioLawama zako hazina msingiBembeleza mkeo akurudie!
Amigo, amigoWewe nirafiki yetuJirekebishe ishi na familia yako
AmigoBe a resipossible man
Badala yake mambo yote hayoKwa mkeo imekuwa ni ndotoMaisha yake ya kubahatishaNa kazi unafanya, Amigo
Mke amechoka mwisho kakimbiaUmebaki kulaumu mwenzioLawama zako hazina msingiBembeleza mkeo akurudie!Haya Amgio
Majirani na rafiki tulishakukanya sana AmigoHeshimu mke na watoto wakoHeshimu baba na mama nyumbaniNa wakwe zako uwape heshimaShemeji zako pia waheshimu
Tukawa sisi wabaya kwakoShauri wetu hauna maanaTukwache kama ulivyo AmigoSababu wewe ni bingwa wa maisha
Mahari umeshalipa AmigoMkeo huna habari nayeNa leo yamekufika mamboUbingwa wako na mke amekukimbia eehMajirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo
Heshimu mke na watoto wakoHeshimu baba na mama nyumbaniNa wakwe zako uwape heshimaShemeji zako pia waheshimu
Mahari umeshalipa AmigoMkeo huna habari nayeNa leo yamekufika mamboUbingwa wako na mke amekukimbia eeh
Mahari umeshalipa AmigoMkeo huna habari nayeNa leo yamekufika mamboUbingwa wako na mke amekukimbia eehAmigo, I say haya
Twapitaaa
Ooooh AmigoWe mama aaahAmigo... AmigoHayaaaa..., AmigoLes Wanyika iye leleee
Les Wanyika ©By ISSAI IBUNGU
Your Home of African Tunes
MP3 128 Kbps
AAC 64 Kbps
MP3 192 Kbps
Friendly Link
Advertise here: Marketing@jabulaniradio.com
"Advertise Smarter with Jabulani Radio"
Reach global and local audiences with Jabulani Radio. Using modern tech, we offer customized advertising solutions that fit your needs.
"Grow with Us"
Leverage multiple social media platforms with hundreds of thousands of followers. Brand your product with our proven technology and watch your business thrive. The world is changing—advertise smarter with Jabulani Radio.