Nilikua na mchumba wanguTulipendana kama nyama chomaAlibahatika kwenda ngamboChuo kikuu kwenda kusomaMiaka mitatu kule JapaniKusomea udakitari, Stella wangu eeehNilikua na mchumba wanguTulipendana kama chama chomaAlibahatika kwenda ngamboChuo kikuu kwenda kusomaMiaka mitatu kule JapaniKusomea udakitari, Stella wangu eeehNilivyo mpenda Stella jamaniKajitolea kwa roho mojaNikauza shamba languSababu yake yeyeNikauza gari langu, sababu yake yeyeNikauza Ng'ombe na mbuzi sababu yake yeyeIli apate nauli yakeNa pesa nyngine za matumizi kule JapaniIlikua tarehe kumi na saba mwezi wa tanoIlikua tarehe kumi na saba mwezi wa tanoNdiyo ilokua tarehe kamili ya Stella kurudi KenyaNilikwenda uwanja wa ndege kwenda kumlaki StellaNilikua na uncle Kilinda uwanja wa ndegeNilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wakeNilikua uncle Mshomba wa mdundonyike tuveluvaNilikua na ndugu Afisi mtoto wa MombasaGhafla ndege lipotua uwanajani tuliona vitukoStella alishuka amebeba mtoto mkononiNyuma yake mchumba wake mfupiFutii nne MjapaniNilisikitika ndani ya moyoNikakosa la kufanyaNilitamani nilie Kikamba lakini sikijuiIlibidii nilie Kijaluo" angatima ngo wachoa", FreshleyNilitamani nilie Kihindi lakini sikijuiIlinibidi nilie Kitaita lugha ya mama na babaIlinibidi nilie Kitaiata"Beke mwana niponyebanda, Freshley"Nilikua na mchumba wanguTulipendana kama chama chomaAlibahatika kwenda ngamboChuo kikuu kwenda kusomaMiaka mitatu kule JapaniKusomea udakitari, Stella wangu eeehNilikua na mchumba wanguTulipendana kama nyama chomaAlibahatika kwenda ngamboChuo kikuu kwenda kusomaMiaka mitatu kule JapaniKusomea udakitari, Stella wangu eeehNilivyo mpenda Stella jamaniKajitolea kwa roho mojaNikauza shamba languSababu yake yeyeNikauza gari langu, sababu yake yeyeNikauza Ng'ombe na mbuzi sababu yake yeyeIli apate nauli yakeNa pesa nyngine za matumizi kule JapaniIlikua tarehe kumi na saba mwezi wa tanoIlikua tarehe kumi na saba mwezi wa tanoMwaka elfu moja tisamia tisaini na mbiliNdiyo ilokua tarehe kamili ya Stella kurudi KenyaNilikwenda uwanja wa ndege kwenda kumlaki StellaNilikua na uncle Kilinda uwnaja wa ndege,Nilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wakeNilikua uncle Mshomba wa mdundonyike tuveluvaNilikua na ndugu Afisi mtoto wa MombasaGhafla ndege lipotua uwanajani nliona vitukoStella alishuka amebeba mtoto mikononiNyuma yake mchumba wake mfupiFutii nee MjaipaniNilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanyaNilitamani nilie Kikamba lakini si kijuiIlibidii nilie Kijaluo "Angatima ngo wauchoa", FreshleyNilitamani nilie Kiindi lakini si kijuiIkanibidi nilie Kitaita lugha ya mama na babaIlinibidi nilie Kitaiata, "beke mwana niponyebanda, Freshley"Iyooo, yoo, yoo, yooI love you Stella mamiIyooo, yoo, yoo, yooI love you Stella mamiCome back, come back StellaI still need you babyNikwendetete nyama kuivivyaStella kindu wakwaNikwendetete nyama kuvivyaYa kuvulania na kachumbariUkava kuvi nakwa Stella, linda unguune kisiUkava kuvi nakwa Stella linda unguune kisiNakupenda kama choma Stella mpenzi wanguNakupenda kama nyama choma Stella mpenzi wakwaUkava kuvi nakwa Stella linda unguune kisiNikwendetete nyama kuvivyaYa kuvulania na kachumbariCome back, come back StellaI still need you babyCome back, come back StellaI still need you babyKwanini kunichenga chenga hivyoStella kama mpira uwanjaniKwanini kunichenga chenga hivyoStella kama mpira uwanjaniKwanini kunichenga chenga hivyoStella kama mpira uwanjaniBy Jerome Ogola
Your Home of African Tunes
MP3 128 Kbps
AAC 64 Kbps
MP3 192 Kbps
Friendly Link
Advertise here: Marketing@jabulaniradio.com
"Advertise Smarter with Jabulani Radio"
Reach global and local audiences with Jabulani Radio. Using modern tech, we offer customized advertising solutions that fit your needs.
"Grow with Us"
Leverage multiple social media platforms with hundreds of thousands of followers. Brand your product with our proven technology and watch your business thrive. The world is changing—advertise smarter with Jabulani Radio.